Tunasaidia Ktk Maombi ya kazi(soma maelekezo zaidi)

Date:09/10/2011::Deadline:30/04/2011::Based in Dar es salaam
JOB APPLICATION HELPING FOR YOUTH IN TZ
PATA HUDUMA YA KUSAIDIWA KUAPPLY KAZI.

MAELEZO YA AWALI JUU YA HUDUMA HII
 Huduma hii inaitwa "Job application Helping for youth  in  Tanzania". Inamsaidia mtumiaji kwa kumpa mda wa kufanya shughuli zingine za maendeleo, kumpunguzia adha za kutafuta kazi, kumuhakikishia mteja kuwa application zake zinafika katika kampuni husika.Huduma hii inalenga wanaotafuta kazi kwa mara yakwanza, wenye uzoefu na wanaotaka kuhama au kutafuta kazi nzuri zaidi.

MAHITAJI YA HUDUMA HII
>Unatakiwa kufungua email mpya (yahoo), kisha itume kupitia email: jobmakini@ymail.com
>Tuma hiyo yahoo email mpya pamoja na password yake.
> Tuma CV, Sample ya cover letter yako, vivuli vya vyeti nk
>Kuwa tayari kujiunga na huduma hii.

JINSI HUDUMA HII INAVYOFANYA KAZI
>Huduma hii husaidia sana watu katika kupunguza gharama za kutafuta kazi na taarifa za kazi kwa ujumla.
> Tunakusaidia kutuma kazi inayomatch na ulichosomea.
>Taarifa juu ya kazi ambayo tutakuwa tumeituma katika makampuni mbalimbali tutakujulisha kwa simu.
> Copy ya application tutakutumia katika email yako ya zamani.

FAIDA ZA HUDUMA HII.
Huduma hii ni nafuu sana, Inamsaidia mtumiaji katika upatikanaji wa taarifa za ajira kwa upesi na urahisi,Ni rafiki kwa mtumiaji kwani ina gharama ndogo lakini faida yake kubwa zaidi, Mtumiaji anaitwa na kampuni husika kwa ajili ya interview bila gharama yoyote, Hakuna haja yakuhofu deadline za kazi

MUUNDO WA HUDUMA
Huduma hii inatolewa katika misimu miwili kwa mwaka, kila msimu una miezi sita. bei ni nafuu sana haizidi Tsh 150,000 kwa msimu kwa wasio na kazi na wenye kazi Tsh 300,000
Aidha mtumiaji atatakiwa kulipa ili apate faida za huduma hii.

MWISHO
TUMA MAOMBI YAKO KWENDA:
jobmakini@ymail.com


MWANZILISHI
Jobmakini
+255 652 278 995
(Usisite kupiga simu kwa maelezo zaidi kama utahitaji na jinsi ya kulipia)